Maelekezo ya kununua fomu mtandaoni
Tafadhali bonyeza hapa kusoma maelezo ya kina kabla ya kulipia fomu
- Lipia TSh 15,000/= kwenye namba ifuatayo
|
0787 796 926 |
Tumia namba ya simu TU kufanya malipo. Usitumie wakala wala benki.
Jina ni VAZHAPPILIL JOSEPH.
-
Tutakapoupokea muamala wako tutakutumia ujumbe kwenye namba uliyoitumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na token.
-
Bonyeza Pakua fomu. Ingiza namba ya simu uliyotumia kufanya malipo.
-
Ingiza token tuliyokutumia kwa ujumbe mfupi
-
Ingiza majina mawili ya mwanafunzi kwenye sehemu husika. Kuwa makini, hutaweza kubadilisha ukishahifadhi taarifa
-
Hifadhi Taarifa
-
Pakua fomu. Ichape na ufuate maelekezo yake.
Imetengenezwa na Code Dreamers